Chekshia Kideo....upate uhondo wa pasha pasha za maandalizi kuelekea Bulabo.
![]() |
| Katika viwanja hivi nakutana na Shangazi yangu ambaye naye ni Mtemi wa koo za eneo la Shinyanga. |
![]() |
| Ngoma ya Wigashe ikijinoa. |
![]() |
| Hapa palikuwa patamu. |
![]() |
| Mwnyekiti wa Kampuni ya bia ya Serengeti Paul Bomani akiwapungia mikono wadau wa ngoma za jadi mara baada ya kuwasili kituo cha Bujora. |
Tupe maoni yako













0 comments:
Post a Comment