![]() |
| Mwili wa marehemu Albert Mangwea ukipelekwa Hospitali ya Rufaa Muhimbili |
![]() |
| Mwili wa marehemu Albert Mangwea aliyefariki dunia may 28 huko Johannesburg nchini Afrika ya kusini leo umeingia jijini Dar es salaam na kupokewa na maelfu ya mashabiki wake. |
![]() |
| Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Mangwea. |
![]() |
| Ramal (kushoto) na J. Moo. |
![]() |
| Prof Jay sambamba na Producer Ramal wakihojiwa na vyombo vya habari. |
Tupe maoni yako





0 comments:
Post a Comment