| Dada zake marehemu Victoria Kahabuka wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mpendwa wao. |
| Clement Kahabuka akiongoza wadogo zake kuweka shada kwenye kaburi la dada yao. |
| Victoria kahabuka amezikwa leo eneo la makaburi ya Nyakato jijini Mwanza. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment