ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, May 10, 2013

SUZAN IKOMBE NDIYE REDDS MISS ILEMELA 2013

Miss Ilemela 2013 Suzan Ikombe (katikati) akiwa na mshindi wa pili Ester Ngowi (kulia) na Mshindi wa tatu Judith Matulege (kushoto) mara baada ya kutangazwa rasmi na majaji katika ukumbi wa Gold Crest Hotel jijini Mwanza.

Washiriki wa Redds Miss Ilemela 2013 wakitoa burudani ya awali...

Azonto...

Vazi la ufukweni...
 
Vazi la ufukweni na pozi za wanyange wa kinyang'anyiro cha Redds Miss Ilemela 2013.

Hapo jeh!!

Pwacha...'

Eeeenh..

Majaji kikazi zaidi kung'amua nani stahiki kupitia vigezo.

Burudani ilipambwa na mwanadada mwenye sauti tamu Linah.


Flowers katikati ya sherehe.

Parade la warembo.

Top 5.

Wakishow love kwa G.Sengo's blog

Brothers.
Huu ni Mwanzo tu.. kuelekea mchakato wa kumsaka Miss Tanzania kwa mkoa huu, kesho tarehe 12/05/2013 kazi itahamia pale JB Belmont Hotel ambapo twaenda kumsaka Miss Nyamagana. Uskose Mdau!!!!!!

Tupe maoni yako

4 comments:

  1. I was wondering if you ever considered changing the page layout
    of your blog? Its very well written; I love what youve got to say.
    But maybe you could a little more in the way of content so people could connect
    with it better. Youve got an awful lot of text for only having one or 2 images.

    Maybe you could space it out better?

    Feel free to surf to my page ... light teeth

    ReplyDelete
  2. Hi there, after reading this remarkable post i am as well cheerful
    to share my familiarity here with colleagues.

    Feel free to visit my site; whitening process

    ReplyDelete
  3. where is the photo of miss nyamagana 2013 we are anxious

    ReplyDelete
  4. yuko wapi mshindi wa nyamagana mwaka huu ?????????????????????????

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.