Mkurugenzi
mkuu wa Airtel Sunil Colaso akimzawadia bi Rose Maina mmoja wa wateja
katika uzinduzi wa huduma mpya kwa wateja ijulikanayo kama Airtel
Premier Services katika ofisi za Airtel jijini Dar Es Salaam akifuatiwa
na Mkurugenzi wa huduma kwa wateja bi Adriana Lyamba.
Mkurugenzi
wa huduma kwa wateja wa Airtel Adriana Lyamba akimzawadia bw. Joseph
Mambo .mmoja wa wateja katika uzinduzi wa huduma mpya ya wateja
ijulikanayo kama Airtel Premier Services katika ofisi za Airtel jijini
Dar Es Salaam, akishuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Sunil Colaso.
Mkurugenzi
wa huduma kwa wateja wa Airtel Adriana Lyamba akimzawadia bw. Abdual
Salum mmoja wa wateja katika uzinduzi wa huduma mpya ya wateja
ijulikanayo kama Airtel Premier Services katika ofisi za Airtel jijini
Dar Es Salaam, akishuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Sunil Colaso.
Mteja
wa Airtel bw. Picket Robert Miranda (kushoto) akiongea na mkurugenzi wa
huduma kwa wateja Adriana Lyamba (kulia) na Meneja wa huduma kwa wateja
Hilda Nakajumo (katikati) katika uzinduzi wa huduma mpya ya wateja
ijulikanayo kama Airtel Premier Services katika ofisi za Airtel jijini
Dar Es Salaam.
Mkurugenzi
mkuu wa Airtel Sunil Colaso (kushoto) na wafanyakazi wengine wa Airtel,
Adriana Lyamba (Kulia) akifuatiwa na Meneja wa huduma kwa wateja Hilda
Nakajumo wakiongea na mmoja wa wateja wa Airtel David Mukama(wa pili
kushoto) katika uzinduzi wa huduma mpya kwa wateja ijulikanayo kama
Airtel Premier Services katika ofisi za Airtel jijini Dar Es Salaam.
0 comments:
Post a Comment