Mtangazaji Philbert Kabago wa Passion Fm Mwanza akizungumza na wasanii wa kundi la Jambo Squard toka jijini Arusha wanaonekana katika picha inayofuata ambao wako jijini hapa na leo watapiga show ndani ya ukumbi wa Rock Bottom ulioko Gold Crest Hotel.
SIKILIZA MAHOJIANO HAPA KWA KUBOFYA PLAY
Mi wale wakali wa masongi kama Mamong'oo, Disco malapa na nyingi kali za mahadhi ya hip hop Masai, Pichani kutoka kushoto ni Odinal aka 'Dogo Kichaa' akiwa na Chaliii Mtoto wa Bibi aka Nigga Bombom Matatizo wakizungumza na wakazi wa Mwanza kupitia masafa ya Passion Fm ndani ya kipindi cha Michano Tyme leo hii wakitaraji kukisanukisha ndani ya Rock Bottom kwa kiingilio cha shilingi 10,000/= tu.
Kutoka kushoto ni Odinal aka 'Dogo Kichaa' akiwa na Chaliii Mtoto wa Bibi aka Nigga Bombom Matatizo wakizungumza na wakazi wa Mwanza kupitia masafa ya Passion Fm ndani ya kipindi cha Michano Tyme leo hii wakitaraji kukisanukisha ndani ya Rock Bottom kwa kiingilio cha shilingi 10,000/= tu.
Taarifa kwa Umma Kuhusu Ongezeko la Bei za Mafuta.
-
Dar es Salaam, Tanzania
Tunatambua ongezeko kubwa la hivi karibuni la bei za mafuta ambalo
limeongezeka kwa asilimia 33. Kama jukwaa linalolenga kusawaz...
Serikali Yaongeza Muda wa Tume ya Uchunguzi
-
*Na Mwandishi Wetu*
*DODOMA, Aprili 4, 2026 — Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
imetangaza kuongeza muda wa kukamilisha kazi kwa Tume ya Kuchun...
0 comments:
Post a Comment