![]() |
| Safari ya mwisho ya David Yared Balihuta aliyezikwa leo kwenye makaburi ya Ilemela jijini Mwanza. |
![]() |
| Simanzi zilitawala kwa umati uliofurika mahala hapa ukapata wakati mgumu sana kuvumilia kilio cha mke wa marehemu. |
![]() |
| Binti wa marehemu akitoa heshima zake za mwisho. |
![]() |
| Huyu ni mtoto wa mwisho wa marehemu akiuaga mwili wa baba yake. |
![]() |
| Ilikuwa ni wakati mgumu kwa ndugu jamaa na marafiki wakati wa kuuaga mwili wa marehemu David Yared Balihuta. |
![]() |
| Marafiki waliofanya kazi kwa ukaribu na marehemu wakiongozwa na Smith Swai wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu David Yared Balihuta. |
![]() |
| Ndugu jamaa na marafiki wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa marehemu David Yared Balihuta |
![]() |
| Wanakwaya walipaza sauti zao za kudhihirisha majonzi yaliyofunika mioyo yao. |
![]() |
| Safu ya waimbaji ikiomboleza msibani. |
![]() |
| Ukimya umetawala kwa marafiki wakitafakari. |
![]() |
| Safu ya marafiki ikiusindikiza mwili wa marehemu kuelekea makaburini. |
![]() |
| Safu ya marafiki ikiusindikiza mwili wa marehemu kuelekea makaburini. |
![]() |
| Ni marafiki waliowahi kufanya kazi na marehemu enzi za uhai wake katika tasnia ya utengenezaji muziki hapa walikuwa wakifarijiana kupitia mazuri yaliyofanywa na marehemu David Balihuta.. |
![]() |
| Ni safari na msafara kuelekea makaburini kwaajili ya mazishi. |
![]() |
| Mwili wa marehemu David Yared Balitula ukiwasili viwanja vya makaburi ya Ilemela kwaajili ya mazishi. |
Tupe maoni yako


















0 comments:
Post a Comment