![]() |
| Hongera kwa Martin na Joyce kwa kufunga ndoa. |
![]() |
| Bwana Martin William akimvisha pete Bi. Joyce Kabago kamaishara ya uaminifu kwa ndoa takatifu. |
![]() |
| Bibi harusi Joyce Kabago akimvisha pete ya harusi Bw. Martin huku akila kiapo mbele ya kanisa. |
![]() |
| Vyeti vya ndoa takatifu ya Bw. Martin na Bi. Joyce, iliyofungwa katika kanisa la Roman Catholic Buswelu jijini Mwanza. |
![]() |
| Maharusi wakijiandaa kwaajili ya msafara. |
![]() |
| Msafara kutoka kanisani mara baada ya ndoa takatifu ya Bw. Martin na Bi. Joyce, kufungwa katika kanisa la Roman Catholic Buswelu jijini Mwanza. |
![]() |
| Wow....!!! |
![]() |
| Nice. |
![]() |
| Safi.......!!!! |
![]() |
| Meza kuu ya bwana harusi. |
![]() |
| Ndugu toka familia zote nao walijumuika katika picha za ufukweni. |
![]() |
| Smile za maharusi katika siku hii muhimu. |
![]() |
| Bwana harusi anaitwa Martin naye mshenga anaitwa Martin. |
![]() |
| Wakipongezana kushoto ni Baba wa Bibi harusi Mr. Kabago na kulia ni Baba wa Bwana harusi Mr. William. |
![]() |
| Nilishe nikulishe ya keki ya harusi ya Bw. Martin William na Bi. Joyce Kabago. |
![]() |
| Mambo ya maakuli. |
![]() |
| Wafanyakazi wenzake na bwana harusi katika picha ya pamoja na maharusi. |
Tupe maoni yako

















0 comments:
Post a Comment