ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, March 16, 2013

CHEKSHIA DANSI LA AZONTO NA DJIBRIL CISSé KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA KUMSAKA MNYANGE WA RDC UK.


Mc: "Huyu ni Gjibril Cisse anayekiputa kwa mkopo katika klabu ya Al-Gharafa akitokea Queens Park Rangers kama mshambuliaji. Anapiga pamba za uhakika, kwetu Kongo tunaita 'Sapele' (kibongobongo ametokelezea)." 
Mc: "Nataka kusema kitu cha utofauti ambacho nakiona kwake, wewe sawa unaasili ya afrika na haujazaliwa Afrika bali umezaliwa Ufaransa, kuna watu wengi sana hata humu ndani ambao wanaishi hapa uingereza, ni waafrika waliozaliwa na waafrika na wazazi wao wako Afrika, lakini hawajui kabisa tamaduni zao."  "Nataka kujuwa wewe umewezaje kukonect na kuzimudu tamaduni za Afrika wakati wewe ni mfaransa, umefanya nini hasa?" 

Gjibril: Kiukweli nimekuwa nikitembelea mila na tamaduni mbalimbali duniani, mwisho wa siku nimegundua kuwa Afrika kuna utamaduni wenye nguvu zaidi ya zote na hata ninapotembelea bara la Afrika najihisi kuwa niko mahala pa upekee zaidi".

Ni katika kinyang'anyiro cha kumsaka Miss RDC UK mwaka 2012.

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. A huge dick in my pussy,the warm wet tounge up my arse and cum as well as pussy
    juice all over me. Fuck, ozzy

    Review my web-site :: hcg injections

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.