Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando (kulia) akimkabithi mshindi wa mwenzi January wa promosheni ya Amka millionea bi Agnes Hassan Chakame mfano wa hundi ya shilingi million 15 baada ya kuibuka mshindi wa promosheni ya Amka millionea na Airtel na kujishindia kitita cha shilingi million 15. Agnes ni Mkulima na mkazi wa Rufiji mkoa wa pwani. Akishuhudia ni Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde
Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde akimkabithi mshindi wa mwenzi January wa promosheni ya Amka millionea bi Agnes Hassan Chakame mfano wa hundi ya shilingi million 15 mara baada kuamka mshindi wa promosheni ya Amka millionea na Airtel na kujishindia kitita cha shilingi million 15. Agnes ni Mkulima na mkazi wa Rufiji mkoa wa pwani. Promosheni ya Amka millionea bado inaendelea ili kujiunga andika neno SHINDA AU MILLIONEA kwenda namba 15595.
Mshindi wa mwenzi January wa promosheni ya Amka millionea bi Agnes Hassan Chakame akionyesha mfano wa hundi ya shilingi million 15 mara baada kuamka mshindi wa promosheni ya Amka millionea na Airtel na kujishindia kitita cha shilingi million 15. Agnes ni Mkulima na mkazi wa Rufiji mkoa wa pwani.
Taarifa kwa Umma Kuhusu Ongezeko la Bei za Mafuta.
-
Dar es Salaam, Tanzania
Tunatambua ongezeko kubwa la hivi karibuni la bei za mafuta ambalo
limeongezeka kwa asilimia 33. Kama jukwaa linalolenga kusawaz...
Serikali Yaongeza Muda wa Tume ya Uchunguzi
-
*Na Mwandishi Wetu*
*DODOMA, Aprili 4, 2026 — Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
imetangaza kuongeza muda wa kukamilisha kazi kwa Tume ya Kuchun...
0 comments:
Post a Comment