Host wa kipindi cha Amplifaya akifanya mahojiano na Babu wa Loliondo Ambilikile, mpango mzima tutaupata leo (alhamisi) ambapo ile kiu ya maswali yote tuliyokuwa nayo inakwenda kupata tiba....ha-haaa ... tiba ya kikombe au...!!? Usiogope majibu ni leo, leo kuanzia saa moja usiku ndani ya Clouds fm.
Kwa sasa msikilize Babu wa Loliondo kwenye hiyo promo yake hapo chini.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.