ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, February 4, 2013

WALI WALIWA, MCHELE WACHELEWA, MPUNGA WAPUNGUA.

Niko safarini kuelekea vijiji vya wilayani Sengerma,  nikiwa Kamanga napata 'tea' kwa mama ntilie dakika sifuri namwona akijibidiisha kuchambua mchele kwenye sinia, kila punje ya mpunga aliyokuwa akiokota alikuwa akiitupa chini (which means haina kazi tena) kaswali kakaniijia kichwani .... Hivi kama angekuwa na kopo lake la kutupia punje hizo na hasa ukizingatia yeye ni mamalishe na huchambua kuanzia kilo tano na kuendelea kwa siku... baada ya miezi kadhaa si angekuwa na tu'kilo kazaa twa mpunga au pengine ka'debe...?
Mmmmh Kuuliza si ujinga...
'Have a nice day ng'wanawane'  
 

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. When applied in cool, wet weather, it can cause burning of the leaves and the
    russeting of fruit. When you're preparing your planting area, just mix the soil with about three inches of organic compost. Each has his own concoction of soapy water, tobacco juice or hot pepper solutions to to deter these nasty pests and try those first.

    Also visit my web blog: sonnet

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.