Said Mohamed Zubeir wa Bandari (kulia) akidhibiti mpira katika pambano la Bandari na Malindi ambapo katika pambano hilo la ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar lililofanyika jana kwenye uwanja wa Mao Tse Tung lilishuhudia Malindi iliichabanga Bandari mabao 3-1. Picha na Martin Kabemba.
Masoud Ali Rashid wa Bandari (kushoto) na Yussuf Saleh wa Malindi wakipambana. Picha na Martin Kabemba.
0 comments:
Post a Comment