Ac Milan usiku wa kuamkia leo imefanya kweli katika ligi ya mabingwa barani ulaya mara baada ya kuifunga Barcelona mabao 2-0 nchini Italy. Shuhudia mpango mzima kupitia kideo hapo juu.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment