Wakati huo huo serikali ya Ivory Coast imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa baada ya zaidi ya watu sitini kuuwawa na wengine wengi kujeruhiwa kwa kukanyagwa wakati wa onyesho la fataki kuukaribisha mwaka mpya katika mji mkuu wa Abidjan.
Baadhi ya wale walioshuhudia kisa hicho wanasema watu waliingiwa na wasiwasi baada ya vijana waliokuwa wamejihami kwa visu kuanza kuiba simu za mkononi huku wengine wakisema ni utepetevu wa maafisa wa usalama katika kuthibiti umati.
Viatu na nguo vimezagaa eneo lote la uwanja. |
Afisa usalama wa nchini humo akiwa nje ya eneo la uwanja wa mpira palipotokea msongamano uliosababisha mauaji hayo pembeni nguo na viatu vikiwa vimezagaa. |
Tupe maoni yako
These are fundamentally brief term loans that do deliver you
ReplyDeletemeet your fiscal matters inside a preferred precise time period.
Taking into consideration time limitations these loans are particularly
made above an obligation free platform. As such, these are kept entirely
totally free from credential checksums. Challenges
such as defaults, arrears, bankruptcy, CCJs and even IVAs are not viewed as
here. Additional, there are also no collaterals related with these loans.
There is minimal paper operate needed on the part of borrower.
There are also no hidden or added documentation or faxing expected here.
Applying for these loans is also especially hassle-free.
Consumers merely require filling an on line form and as soon as this
gets approved cash is received inside 24 hours time frame.
These loans are typically provided beneath handy terms and situations.
The common simple applicant criteria right here is
that they should certainly be a UK resident and of 18 years of age.
Here is my weblog - http://www.arizonalocals.com/index.php?do=/profile-12798/info/