![]() |
| Mikate ya royal Oven imetengenezwa kutokana na ngano halisi kwa asilimia 100 ikiwa na virutubisho asilia imeiva na ina ladha. |
![]() |
| Bran Muffin. |
![]() |
| Cake kwa maharusi, birthday na sherehe mbalimbali. |
![]() |
| Coco Buns. |
![]() |
| Mikate ya Kizungu. |
![]() |
| Sambusa za mbogamboga. |
![]() |
| Vitumbua vitamu dunia nzima. |
![]() |
| Naankatai. |
![]() |
| Chapati. |
![]() |
| Sandwich na keki ndogondogo za mifuko. |
![]() |
| Sweet bread, Brown bread na kadhalika...karibu uhudumiwe. |
![]() |
| Weka oda kwaajili ya keki ya birthday style yoyote uipendayo nasi tutaweka kumbukumbu ya tarehe yako kwa kompyuta na tutakukumbusha kila mwaka siku mbili kabla ya tukio. |
Royal Oven tunapatikana barabara ya Posta tukitizamana na New Mwanza Hotel karibu na Kariuwa Inverstment.
Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0759030829.
Royal Oven The Bakery Masters.
Tupe maoni yako













0 comments:
Post a Comment