ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, January 24, 2013

RIPOTI KAMILI MCHEZO BAINA YA YANGA NA BLACK LEOPARDS TOKA MWANZA

IKICHEZA soka lenye ‘harufu’ ya Uturuki, kwa mara nyingine tena Yanga jana iliwathibitishia mashabiki wake ilichojifunza Ulaya na kwamba mechi ya kwanza haikubahatisha mara baada ya kuibanjua kwa mara nyingine tena  mabao 2-1Leopards  ya Afrika Kusini katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza. Zaidi Sports Xtra ilikuwa shuhuda wa mchezo huo... Bofya play kusikiliza. 

Kocha wa Black Leopards Abel Makhubela akizungumza na wandishi wa habari.

Kocha wa Yanga Felix Minziro akizungumza na wandishi wa habari.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.