![]() |
| Mwili wa marehemu ukiwasili eneo la makaburi ya Lumala. |
![]() |
| Mwili wa marehemu Hellen Kabambo ukishushwa kwenye nyumba yake ya milele. |
![]() |
| Ni baadhi ya waandishi wa habari Mwanza wakisaini kwenye daftari la rambirambi kutoka kushoto ni Jackline, na Rose Jackob. |
![]() |
| Jeneza lenye mwili wa marehemu Hellen Kabambo likiwa kwenye nyumba yake ya milele tayari kwa kufukiwa mavumbini. |
![]() |
| Baba wakubwa wakiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu. |
![]() |
| Na mwanga wa milele na umwangazie. |
![]() |
| Kutoka kulia ni Liberata Mashimba, Amina Mashimba, Pendo Martin na bibi Elizabeth Masabo. |
![]() |
| MPC Team. |
![]() |
| MPC Team. |
Tupe maoni yako






















0 comments:
Post a Comment