ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, January 6, 2013

MKANDARASI NA LUGHA


Huyu mkandarasi si mchezo !!
Kutoka Iringa na kupata kazi Nzega kweli amebobea.
Kama anaweza kuandika kwa lugha kama hiyo na Tanroad wapo,Engineer wa Wilaya yupo na wengine hivi ni kweli hawaoni.?
Ama kweli Bongo achana nayo.
Naomba mtu mwenye e mail ya Makufuli amtumie hili bango na picha ya daraja.

Imeletwa na mdau naomba kuwasilisha.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.