Mchungaji Daniel Mbowe (nyuma) na na mbele ni dada Eva Machangu wakati akisoma somo katika ibada iliyofanyika hivi karibuni. |
Muda wa Ibada: Saa saba mchana (13:00 hours) hadi saa tisa mchana ( 15:00 hours).
Mahali: Evangelischen Friedenskirchengemeinde Bonn
Anuani: Franz-Bücheler-Straße 10
53129 Bonn
Ibada hii ya Kiswahili itakuwa ikifanyika kila Jumapili ya pili ya kila mwezi, ibada ya Kwanza ilifanyika tarehe 9 mwezi uliopita na kuhudhuriwa na watu wengi.
Mchungaji Hoyce Mbowe akitoa mahubiri katika ibada ya kwanza iliyofanyika Bonn, Ujerumani. |
Mawasiliano: dmbowe@hotmail.com or hoycembowe@hotmail.com
Wote mnakaribishwa: Karibuni tumwabudu na tumsifu Mungu wetu.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.