ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, December 23, 2012

!!!!.....UJUMBE WA LEO CHIBOKO.....!!!!

Poleni wadau wa blogu ya www.gsengo.blogspot.com kwa kukosa taarifa mpya kwa takribani siku 3 hivi, kwani nilikuwa ndani ya Tanzania hii-hii, huko ndani ndani mawasiliano ya Internet utata mtupu..  Vijiji vya wilaya zaTarime na Rolya mkoani Mara mawasiliano ya simu unapata lakini kwa zile style za hapa yapo pale patupu .. pamoja na hayo internet azinasi kabisa...
Hima hima wanamitandao boresheni huduma vijijini.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.