![]() |
| Ni Bwana Harusi Joseph Mwambuja na Bibi harusi Godfrida Malifedha katika sherehe yao iliyofana iliyofanyika jana jumapili nyumbani kwao kata ya Buhongwa jijini Mwanza. |
![]() |
| Chiaaaaz. |
![]() |
| Show ya watoto shika hapa - acha hapa...!!! |
![]() |
| Watu weweeee....!!! |
![]() |
| Bwana na Bi. Harusi wakiwa katika picha ya pamoja na mama wa Bi. harusi. |
![]() |
| Sisi na maharusi. |
![]() |
| Kila la kheri kwa Bwana na Bibi Harusi Mungu aibariki ndoa yenu. |
Tupe maoni yako







safi sana
ReplyDelete