| Kaimu Meneja wa benki ya FBME tawi la Mwanza Emmanuel Kidosi akikabidhi msaada wa vyakula kwa kituo cha watoto yatima cha moyo wa huruma mjini Geita |
| Mzigo huo ukikabidhiwa kuwezesha uhakika wa mahakuli ya sikukuu ya Krismasi kwa watoto wa kituo cha Moyo wa Huruma Geita |
| Kaimu meneja wa FBME Mwanza akitia neno wakati wa hafla ya kukabidhi misaada ya vyakula mbalimbali kwa kituo cha Moyo wa huruma kwa ajili ya sikukuu ya Krismasi |
| sehemu ya watoto wanaolelewa na kituo cha watoto yatima cha Moyo wa Huruma kilichopo mjini Geita |
| Mlezi wa kituo cha Moyo wa Huruma kilichopo Geita Sr Mkure akielezea historia ya kituo hicho kwa Maafisa wa Benki ya FBME Mwanza walipotembelea kituo hicho |
| Kijana Vicent Robert akitoa shukrani kwa niaba ya watoto wenzake kwa kukumbukwa na Benki ya FBME wakati huu wa sikukuu ya Krismasi |
| Watoto wanaolelewa na kituo cha Moyo wa huruma Geita wakiwa wenye furaha baada ya kuwapokea wageni wao kutoka benki ya FBME Mwanza |
| Wadau hawa wakitafakari jambo muda mfupi baada kutolewa kwa msaada wa vyakula ili kuwezesha watoto wa kituo cha moyo wa huruma kusherehekea sikukuu ya krismasi |
| Wafanyakazi wa Benki ya FBME -Mwanza wakipozi na watoto wa kituo cha moyo wa huruma mjini Geita |
| Ndiyo kituo husika... |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment