Nawaletea muendelezo wa 147 Critics ambapo leo tunamsikiliza mdau muhimu na makini kwenye Muziki wa Dansi na kwa
upande mwingine kwenye Filamu akielezea kuhusiana na marekebisho ya sheria ya ushuru wa bidhaa Sura 147
yanayogusa Muziki na Filamu.
Tusikilize 147 Critics:John F Kitime (2) akiwa ni mtu wa pili kuelezea maoni yake kupitia video hapo juu.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.