| Mkurugenzi wa masoko wa Airtel Cheikh Sarr akiongea na wanafunzi wa stashahada ya juu ya biashara toka chuko cha biashara cha Daniels cha chuo kikuu cha Denver cha nchini Marekani wakati wanafunzi hao waliipotembelea Ofisi za Airtel Makao Makuu Jana katika ziara za mafunzo na kujifunza mambo mbalimbali yakiwemo ya biashara, uchumi na kufahamu zaidi kuhusu Kampuni ya Airtel. hii ni mara ya pili kwa wanafunzi wa chuo hicho kutembelea Ofisi za Airtel Tanzania |
0 comments:
Post a Comment