ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, November 18, 2012

TANZIA: MWANDISHI AIDAN LIBENANGA HATUNAYE....

Enzi za uhai wake marehemu Aidan Libenanga.

Wadau,

Habari za Jumapili! Nimepata taarifa kutoka Morogoro kwamba mwandishi wa habari nguli, Aidan Libenanga amefariki Dunia ghafla leo asubuhi mjini Morogoro.

Libenanga aliwahi kufanya kazi Serikalini enzi za akina Ben Mkapa na baadaye alistaafu na kuendelea na uandishi wa habari wa kujitegemea akiandikia magazeti mbalimbali kutokea Morogoro.


Mwenyezi Mungu twaomba uilaze roho ya marehemu mahala pema peponi, Amen.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.