| Mwakilishi wa Ustawi wa Jamii Kinondoni, Fransisca Makoye akitoa somo kwa watoto waliohudhuria tamasha hilo. |
| Mtoto wa shule ya msingi Hekima ya jiji Dar es Salaam akieleza machache kwa watoto wenzake, pembeni yake ni Mwakilishi wa Ustawi wa Jamii Kinondoni, Fransisca Makoye na mshereheshaji Zainab. |
| Watoto wakifuatilia tamasha. |
| Wanahabari toka kituo cha television ya TBC1, wakifanya mahojiano na watoto. |
| Meza kuu wakifuatilia. |
| Inspector Prisca Komba wa Kituo cha Polisi Osterbay mwakilishi kutoka polisi |
| Walimu wa Shule ya msingi Hekima wakifuatilia kwa makini. |
| Nyimbo toka shule ya msingi Hekima. |
| Picha ya Walimu, Wanafunzi, Waandaaji pamoja na mgeni rasmi. PICHA ZOTE NA CATHBERT ANGELO- KAJUNASON BLOG. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment