![]() |
| Mchungaji wa kanisa la Sabato akiendesha ibada kabla ya heshima za mwisho kwa marehemu kutolewa. |
![]() |
| Sehemu tu ya watoto wa marehemu kwenye ibada hiyo iliyofanyika nyumbani. |
![]() |
| Mr. Hamza akiongoza hatua ya kutoa heshima za mwisho kwa marehemu. |
![]() |
| Majonzi yametawala katika kuuaga mwili wa marehemu bibi Eva E. Mapande. |
![]() |
| Majirani, ndugu jamaa na marafiki wameshiriki ibada hii ya kuuaga mwili wa marehemu bibi Eva E. Mapande |
![]() |
| Ibada hii ya kuuaga mwili wa marehemu bibi Eva E. Mapande imehudhuriwa pia na Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Mwanza, Sixbeth Reuben. |
![]() |
| Ibada ya kuuaga mwili wa marehemu ikiendelea. |
![]() |
| Ndugu na marafiki wameshirikiana pamoja kupeana moyo. |
![]() |
| Marafiki na ndugu eneo la tukio. |
![]() |
| Jipe moyo. |
Tupe maoni yako













0 comments:
Post a Comment