| Kamanda Mpinga akiongea na wahitimu, L to R ACP Missime RPC Temeke, Yakub Rajab TDA, Mkurugenzi manispaa temeke,M/kiti Bodi ya ushauri, Mkuu wa chuo cha VETA, ACP Kahatano Traffic Kuu. |
| Mkurugenzi Manispaa ya Temeke Mama Nyalile akiwaasa bodaboda, L to R kamanda Mpinga, M/kiti wa wa bodi ya ushauri ya chuo Nd. Marealle, Mkuu wa chuo cha VETA Nd. Ng'andu |
| Wahitimu hao wakiserebuka kidogo |
| Wahitimu wa mafunzo ya uendeshaji boda boda wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri kwenye hafla hiyo. |
| Waendesha piki piki wakila kiapo cha utii.Picha zote kwa hisani ya SACP Mpinga - CO Traffic |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment