ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, November 7, 2012

INGAWA MCHANA HALI YA HEWA NIKAMA VILE KUMEKUCHA

Ni mapambazuko mengine leo kwenye jiji la Miamba na Ziwa lenye samaki watamu kinoma noma........!!!

Msimu huu mavuno kila pande yamekubali.....!!!

Ni mvua ya dakika chache tu iliyonyesha mchana huu imesababisha maji kutuama katika kona hii ya barabara ya Kenyata  ya kuingia Mwanza Hotel na Gold Crest chanzo mitaro imeziba kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha... haya wadau husika changamkeni. 

Ni mvua ya dakika chache tu iliyonyesha mchana huu imesababisha maji kutuama katika kona hii ya barabara ya Kenyata  ya kuingia Mwanza Hotel na Gold Crest chanzo mitaro imeziba kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.