ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, November 1, 2012

BALOZI WA KINYWAJI CHA HENNESSY KUTEMBELEA DAR ES SALAAM TAR 13 NA 14

Kampuni ya Hennessy leo imetangaza ujio wa balozi wake, Bwana Cyrille Gautier Auriol hapa Dar es Salaam tarehe 13 na 14 ya mwezi huu.
Bwana Auriol anakuja Dar es Salaam kwa matukio kadhaa ya kukutana na wapenzi wa kinywaji cha Hennessy, lakini pia ataongoza uonjaji wa kinywaji hicho, chakula cha usiku na ufunguzi wa club mpya ya Hennessy 327.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.