Mchezo huo ambao ulionekana dhahiri kuwa wa upande mmoja kutokana na wachezaji mahiri wa Moro United kutokuwepo, Ashanti walikwenda mapumziko wakiwa wanaongoza mabao 5-1.
Lambele Jerome
Moro ambayo mlinda mlango wake alikuwa bonge la mtu alikuwa akijigararagaza kila wakati kwa madai akaumia.
Mabao ya Ashanti yalifungwa na Lambele Jerome alifunga mabao sita dakika ya 35, 52, 71, 76, 81 na 89, Shabani Hatibu alifunga matatu dakika ya nane, 11 na 37, na Raju Mahmoud dakika ya 16.
Bao la Moro United lilifungwa kwa njia ya penalti na Twahir Kiparamoto dakika ya 21.

Mabao ya Green Worriors yalifungwa na Said Asaa dakika ya 80 Edward Kheri dakika ya 89.
ZAIDI TEMBELEA http://pallangyor.blogspot.com/
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.