YAFUATAYO NI MANENO 25 YALIYOTUMIKA KAMA PASSWORD NA WATU WENGI KWA MWAKA 2012 KWA MUJIBU WA WADADISI WA YAHOO.
1. password
2, 123456
3. 12345678
4. abc123
5. qwerty
6. monkey
7. letmein
8. dragon
9. 111111
10. baseball
11. iloveyou
12. trustno1
13. 1234567
14. sunshine
15. master
16. 123123
17. welcome
18. shadow
19. ashley
20. football
21. jesus
22. michael
23. ninja
24. mustang
25. password1
2, 123456
3. 12345678
4. abc123
5. qwerty
6. monkey
7. letmein
8. dragon
9. 111111
10. baseball
11. iloveyou
12. trustno1
13. 1234567
14. sunshine
15. master
16. 123123
17. welcome
18. shadow
19. ashley
20. football
21. jesus
22. michael
23. ninja
24. mustang
25. password1
Je wataka kuwa na Password isiyofojika?
Hapa kuna vidokezo:
- Tumia herufi ya kwanza kwa kila neno la shairi au mstari kutoka katika wimbo. Kwa Mfano, "Hey, I just met you... And this is crazy... But here's my number... So call me maybe" herufi za mwanzo ni "hijmyaticbhmnscmm." Of course, itakupasa kuimba kichwani kila mara unapotaka ku-log in.
- Changanya maneno mawili, mfano "hungrydog" au "choppywater." Na ili kuweka usalama zaidi, tenganisha maneno hayo kwa kuweka alama au namba au kiwakilishi chochote kwenye keyboard ya komputa yako. Hivyo badala ya kuandika "hungrydog," tumia "hungry$d0g." Ni mifano tu mengine fanya ubunifu ila kumbuka kuweka kumbukumbu kichwani mwako.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.