ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, October 25, 2012

HII NDIYO HALI HALISI KWA BARABARA ZA NDANI KILIMAHEWA

Wakati mkandarasi aliyepewa tenda na halmashauri ya jiji la Mwanza akiendelea na ujenzi wa daraja la Big Bite Kilimahewa na ukarabati wa njia mbadala kwaajili ya kuunganisha eneo hilo na barabara ya kuelekea Nyasaka na maeneo mengine ukiendelea...hali ni tete kwa barabara  nyingi zilizo ndani ya mji huo.

Mifereji ipitishayo maji yatiririkayo ni midogo na mingi imeziba hivyo maji yanakatiza katikati ya barabara na kuharibu miundo mbinu.

Katika maeneo mengine maji yamatengeneza madimbwi makubwa katikati ya barabara.

Ni kama hakuna barabara vile....

Barabara zinapogeuka kuwa.... 

Wenye nyumba zao maeneo haya na kuta za nyumba zao....

Mbele ya shule ya chekechea...

Yahitaji mahesabu wakati wa kuvuta hatua...

Mbele ya mjengo

Mbele ya maduka.... kwenye barabara hizi zenye kilio cha miaka nenda rudi..

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.