ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, October 19, 2012

SAFARI KANDO KANDO YA ZIWA VICTORIA

Ni safari kando kando ya ziwa Victoria kushuhudia harakati mbalimbali za ukuzaji uchumi pamoja na ustaarabu wa maisha.
Wavuvi wa biashara ya jumla ya zao la samaki eneo la Migori nchini Kenya.

Mtumbi wa wavuvi kandokando ya ziwa hili mara baada ya upakuzi kufanyika hapa ukingoja kupakiwa barafu kisha kuelekea ziwani kubeba samaki.
Kituo cha ununuzi wa zao la samaki Kisumu nchini Kenya.

Kibao elekezi.

Samaki wafugwao.

Samaki wafugwao.

Mamba wa kufugwa, kuna baadhi ya maeneo kando kando ya ziwa Victoria yana sifa kuwa na mamba wengi idara za mali asili imeweka uataratibu kukusanya mamba wanao ingia maeneo ya wavuvi na kuwafuga eneo maalum kwa usalama wa wavuvi badala ya kuwauwa mamba hao.  

 
Eneo la upimaji zao la samaki kwaajili ya biashara viwandani.

 
The Kingdom.

 
Ni moja kati ya sanamu zilizopo pembezoni mwa kanisa la kwanza la wamissionari waliofika katika mji huu ulio kando kando ya ziwa Vistoria.
Ni sanamu ya pili iliyo pembezoni mwa kanisa la kwanza la wamissionari waliofika katika mji huu ulio kando kando ya ziwa Vistoria.
Kandokando ya ziwa victoria na shughuli za uvuvi.

 
Matayarisho ya wavuvi na shughuli za uvuvi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.