ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, October 18, 2012

PICHA ZA WAKATI WA MAZISHI YA KAMANDA BARLOW NYUMBANI KWAKE MOSHI KILIMANJARO.


Mwili wa marehemu ukiwasili nyumbani kwake Moshi.

Brass Band ya polisi ikiongoza msafara.


Mwili wa Marehemu ukiwasili eneo la ibada nyumbani kwao.




 Naibu Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mh. Pereila Sirima akitoa heshima za mwisho kwamwili wa  aliyekuwa kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, marehemu Liberatus Barlow.

Mkuu wa jeshi la polisi nchini Inspector Jenerali Said Mwema (kushoto) na Mkuu wa mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo wakiweka udongo kwenye kaburi la aliyekuwa kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza marehemu Liberatus Barlow.


Mke wa marehemu akisali mara baada ya kuweka shada la maua kwenuye kaburi la mumewe.


 Naibu Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mh. Pereila Sirima akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, marehemu Liberatus Barlow.



  

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.