ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, October 10, 2012

NI TIME YA AKINA DADA KUVUNJIKA MIGUU KUPITIA STYLE MPYA YA VIATU

 Miaka ya sasa tumeshuhudia ubunifu wa hali ya juu katika soko la mitindo na ubunifu, madizaina nchi za mbele mbele wamekuwa wakiumiza vichwa kutengeneza viatu vya ajabu kutokea duniani, kiatu ambacho kinakimbiza hivi sasa ni kile chenye visigino viwili kiitwacho  "Scary Beautiful" (pichani juu) kinatajwa kuwa ni kiatu cha ajabu kuliko vyote vilivyopata kutokea kwenye soko la ubunifu

 The massive heels appear backwards on the foot, so the wearers feet point straight down the back, as if in ballet shoes, with their shin leaning against the front "heel" end of the design to balance. The shoes are a collaboration between artist Leanie van der Vyver and Dutch shoe designer René van den Berg, and serve as a commentary on today's impossible standards of beauty. 
"Scary Beautiful" kiatu kilicholeta mapinduzi ndani ya soko la mitindo, akinadada jeh  mko tayari kutokelezea navyo?

Ububifu wa mwisho kwa viatu virefu ulikuwa wa mwaka 2012 kutoka kwa mbunifu Alexander McQueen's kiatu kiliitwa Armadilo heels.

' 
Tizama video hapo juu ya mrembo akifanya mitembeo tartiiiib ndani ya  "Scary Beautiful" shoes. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.