ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, October 20, 2012

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTAMADUNI ATEMBELEA MAZOEZI YA MISS UTALII DODOMA 2012


Naibu Waziri wa maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu alipotembelea Mazoezi ya Miss. Utalii Dodoma juzi na kuwapa nasaha warembo wanaoshiriki mashindano hayo yatakayofanyika Tarehe 09 November, 2012 katika ukumbi wa Royal Village Hotel.


Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.