ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, October 12, 2012

KAMPUNI YA STEPS YATOA MSAADA SHULE YA BUGURUNI VIZIWI


Ofisa wa Kampuni ya Steps Entatainmenti, wasambazaji wa kazi za wasanii. Mbasha Mkilanya 'kulia' akigawa sehemu ya vyakula vilivyotolewa na Kampuni ya Steps kwa ajili ya watoto wa shule ya Buguruni Viziwi  Malapa Dar es salaam Kampuni hiyo imekuwa ikitoa misaada mbalimbali katika shule hiyo kwa ajili ya kuwa karibu na jamii inayowazunguka.
Baadhi ya Maofisa wa Kampuni ya Steps wakiwa pamoja na wanafunzi wa Buguruni Viziwi Malapa Dar es salaam jana

Ofisa wa Kampuni ya Steps Entatainmenti, wasambazaji wa kazi za wasanii. Mbasha Mkilanya 'kulia' akigawa sehemu ya vyakula vilivyotolewa na Kampuni ya Steps kwa ajili ya watoto wa shule ya Buguruni Viziwi Dar es salaam jana

Baadhi ya Maofisa wa Kampuni ya Steps wakiwa pamoja na wanafunzi wa Buguruni Viziwi Malapa Dar es salaam jana picha na www.burudan.blogspot.com

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.