Chombo cha kutoa ubaridi ambacho kiliwekwa angalau kupunguza joto la Daslam ofisini humo,lakini kwa sasa ndege wamepata mahala pa kujipumzikia na kuzaliana,lakini sio ishu. |
Taa nazo ziko hoi zinaning'inia tu,jambo ambalo ni hatari kwa usalama wa watu. |
Ze up area.... |
Baadhi ya Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakisubiri wahusika wa TFF,kukutana na Wanahabari hao kwa ajili ya kuwapa taarifa mbalimbali za michezo,ili jamii ihabarishwe. |
Dude la kuwekea Maji ya Kunywa ambalo sijui kwa mara ya mwisho lilitumika lini,kwani limejaa vumbi,haliangaliwi tena. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.