Burudani ikiendelea kutolewa kwenye viwanja vya Mwembeyanga |
Mmmoja washabiki wa tamasha la fiesta akizungumza kwa ufupi kuhusiana na tamasha hilo litakalorindima siku ya jumamosi kwenye viwanja vya Lidaz club,Kinondoni jijini Dar. |
Babu katokelezeaaa.... |
Kama ujuavyo panaposhughuli ya Fiesta kila mmoja hujipatia faida kwa namna moja ama nyingine |
Manunuzi |
Utam... |
Ze lediz.. |
Ya nani hiii? |
Bhaassss. |
Panaposhughuli za Serengeti Fiesta huduma kama hizi hazikosekani,kuwajali wapenzi na washabiki wake kwa namna moja ama nyingine. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.