Hapo kwa Benny Kinyaiya na Shadee.......? |
Hapa ndipo shughuli itapigwa.... |
Mchaina wa Clouds Tv akiwa na brozee wa Club 10. |
Engo.... |
Wakali kutoka himaya yetu wote wamemiminika hapa kwaajili ya kufanya majaribio. |
Mmmmmh...! |
Ni Shilole, Inspector Haroon na Baby Madaha... Chege yuleeeeee!!! |
Ni Baby Madaha, Mchaina na Keysher. |
Pamoja na kuwa dekoresheni za jukwaa zinaendelea viwanjani hapa vilevile sound ya mtikisiko ambayo imeongezwa nyenzo zaidi inajaribiwa hapa. |
Safu ya wahapa hapa ni Ben Kinyaiya, Dj Venture, Peter Moo na Kelvin Twissa |
Ze stage usiku huu.. |
Bado tupo..... |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.