Bondia Fransic Miyayusho kushoto akisaini mkataba wa kucheza na bondia Nasibu Ramadhani wa pili kulia wanaoshudia kulia ni wakili wa promota Nyasebwa Berious na Mohamed Bawazir |
Mabondia Fransic Miyayusho kushoto akitunishiana misuri na Nassibu Ramadhani wakati wa kutambulisha mpambano wao wa ubingwa utakaofanyika DECEMBER 9, 2012. |
PAMBANO LA UZITO WA BANTAM (KILO 53.5)LA UBINGWA WA INTERCONTINETAL UNAOTAMBULIWA NA WORLD BOXING FORUM (WB-FORUM) NA KUSIMAMIWA NA PST CHINI YA EMMANUEL MLUNDA. PAMBANO LINAANDALIWA NA DAR WORLD LINK CHINI UKURUGENZI WA MOHAMED BAWAZIR.LITAFANYIKA DECEMBER 9, 2012.Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.