|
Waziri Mkuu Mizengo Pinda katikati, Mkuu wa
Mkoa wa Mwanza Everest Ndikillo, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Clement
Mabina wakiwa na Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda wakati wa majumuisho ya
ziara wa Waziri Mkuu katika Mikoa ya Mwanza, Geita na Shinyanga.
|
|
Mama Tunu
Pinda akishuka kwenye gari ili aweze kuingia kwenye kikao cha majumuisho ya
ziara ya Waziri Mkuu leo katika Halmshauri ya jiji la Mwanza.
|
|
Pinda akisalimiana na
viongozi wa Mkoa wa Mwanza. |
|
Viongozi wa serikali kutoka Mikoa ya
Geita, Shinyanga na Mwanza, Wadau na Waaandishi wa habari amabo wamejitokeza
katika majumuisho hayo leo.
|
|
Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Kondisaga akiwasilisha kwenye kusanyiko hilo.
|
|
Mawe matatu Kusanyikoni..... |
|
|
Kusanyiko..... |
|
Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Mwanza Afande Libearatus Ballow akiwa na Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza Wilson
Mbonea Kabwe leo katika majumuisho ya ziara ya Waziri Mkuu. |
|
Wakuu mbalimbali wa wilaya za miji kanda ya ziwa. |
|
Waziri Mkuu akisalimiana na
Mkurugenzi wa Moil Company Limited Mansoor Dogo mbele ya viongozi mbalimbali ya
Serikali leo. |
Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Kayanza Pinda
amemeliza ziara yake leo katika mikoa ya Mwanza, Geita na Shinyanga kwa
majumuisho yake ya mwisho yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya jiji la
Mwanza.
Akiongea mbele ya viongozi mbalimbali wa serikali, vyama vya
siasa, dini na waandishi wa habari, Pinda amesema kuwa amefurahishwa na ziara
hiyo katika sehemu zote alizopita kwani kwake ilikuwa nidarasa kujionea fursa
mbalimbali za maendeleo akisihi wananchi kuzitumia katika kujikwamua kutoka
lindi la umasikini linalowakabili.
Pia amewaomba viongozi wa mikoa yote mitatu aliyozuru kuweka
mpango mkakati wa kuibua fursa zaidi za
kimaendeleo ili kuwaletea Watanzania maisha bora.
Waziri huyo amemaliza ziara yake na kurejea jijini Dar es
salaam jioni ya leo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.