Mmoja wa wasanii mahiri katika miondoko ya hip hop hapa nchini,Mwana FA akiwaimbisha wakazi wa mji wa Tabora wimbo wake wa Yalaiti,usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Ally Hassan Mwinyi,ambapo wakazi wa mji huo walijitokeza kwa wingi.Tamasha hilo jumapili litakuwa linarindima mjini Singida katika kiota cha marahaa kiitwacho Singida Motel. |
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mabeste akikamua kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012 usiku wa kuamkia leo kwenye uwanja wa Ally Hassan Mwinyi,ambapo katika tamasha hilo wakazi wa mji wa Tabora walijitokeza kwa wingi na kujishuhudia vipaji mbalimbali vya muziki. |
Anaitwa Godzilla,Msanii wa hip hop katika muziki wa kizazi kipya,akiangusha mistari iliyowasisimua mashabiki mbalimbali waliofika kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012 usiku wa kuamkia leo kwenye uwanja wa Ally Hassan Mwinyi,ambapo katika tamasha hilo wakazi wa mji wa Tabora walijitokeza kwa wingi na kujishuhudia vipaji mbalimbali vya muziki. |
Wakazi wa Tabora walioamua kujiachia kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012 wakishangwaka vilivyo usiku wa kuamkia leo,tamasha hilo limefanyika jana katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi,aidha tamasha hilo siku ya jumapili litakuwa linarindima ndani ya Singida Motel,mkoani humo |
.
Nikki Mbishi akishusha mistari yake mbele ya wakazi wa mji wa Tabota. |
watu walivyojutokeza wingi kwenye tamasha la Serenegeto Fiesta |
Pichani kulia ni Daffih Dauda Dauda anbaye abaemamai ghetto |
Wakazi wa mji wa Tabora wakiwa ndani ya uwannja wa Ally Hassan Mwinyi wakati tamasha la Serengeti Fiesa lilipokuwa linaondoka |
Dj Zero kutoka Clouds FM akikamua mashine,na kulia kwake ni Hamza Balla, |
Moja wa zao la Serengeti Fiesta 2012,Supa Nyota Ney Lee akitumbuiza jukwaani. |
Msanii Recho akionesha umahiri wake wa kunengua jukwaani akisindikizwa madens wake |
Msanii mahri wa muziki wa kizazi kipya,Ben Paul akionesha kipaji chake ch a kuimba. |
Palikuwa hapatoshi ndani ya Tabora usiku wa kuamkia leo. |
Rich Mavoko akiliongoza skwadi lake kusakata kiduku |
Mbunge wa Tabora Mjini,Mh Afeni Rage akisoma moja ya namba ya aliyebahatika kuibuka na bajaji,kulia kwake ni Mkuu wa utafiti wa Clouds .TV,Bwa.Ruge Mutahaba. |
NI full mzuka mwanzo mwisho kwa mashabiki. |
Sir Juma Natura akikamua usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 202 |
Watu walikuwa kibao. |
Hamza Balla na marafiki zake wakiwa wamepozi ndani ya tamasha la Fiesta usiku wa kuamkia leo. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.