Mratibu wa Redd's Miss Kinondoni 2012, Vivien Sirikwa akiongea machache. |
Mmiliki wa hoteli ya JB Belmounte ambao ni wadhamini wa Redd's Miss Kinondoni 2012, Bw. JB akiongea katika uzinduzi wa kambi iliyopo katika hoteli hiyo. |
Washiriki wa Kinyang'anyiro cha Redd's Miss Kinondoni wakiwa katika picha ya pamoja. |
Baada ya uzinduzi warembo waliburudika na sebene. |
Baada ya uzinduzi kitu cha sebene. |
...Aha ilikuwa ni raha sana. |
Mauno nayo yalikuwepo. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.