Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Tigo Tanzania Diego Gutierrez akieleza machache kwa wageni waliokuwa wamefika katika maonyesho hayo. |
Mkurugenzi wa Mancom Centre, Constantine Magavilla akiwakaribisha na kuwashukuru wageni waliokuwa wamefika katika uzinduzi wa Tigo Mama Afrika Sarakari. |
Moja ya michezo iliyovutia katika Tigo Mama Africa Circus inayoendelea katika ukumbi wa Mancom ndani ya Centre New World Cinema Mwenge. |
Huyu kijana anauwezo wa kuendesha baiskeli ya tairi moja. |
.. ilikuwa ni maajabu na kweli. |
Kijana mwingine alionyesha umahili wake ni huyu kama vile unavyomuona. |
Mchezo mwingine ulikuwa niwa kurushiana vikapu ya kutimia miguu. |
Vijana wakionyesha uhodari wao wa kupaa juu. |
Vijana wakiaga mara baada ya onyesho kumalizika. |
Wanamuziki wa Bendi ya Inafrika nao wakiaga, kazi yao kubwa ilikuwa ni kusherehesha wakati vijana wakiendelea na onyesho. |
Umati mkubwa wa watu uliojitokeza katika maonyesho hayo. |
...watu walipata fursa ya kubadilisha mawili matatu. Picha zote na Cathbert Angelo Kajuna wa www.kajunason.blogspot.com |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.