Wakishow love Masha na Mabina. |
Mkutano wa uchaguzi ulikuwa na hazina ya wapiga kura wa kutosha. |
Wajumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa waliochaguliwa kutoka kulia ni Joseph kahungwa, Saimon Ntabi na Flora Magabe. |
Eneo la mkutano huo wa uchaguzi. |
Mwenyekiti mpya wa CCM Nyamagana Raphael Shilatu akiwa amebebwa juu kwa juu mara baada ya kutangazwa mshindi kwenye kinyang'anyiro cha ugombea nafasi hiyo. |
Mwenyekiti mpya wa CCM Nyamagana Raphael Shilatu akitoa shukurani zake kwa wanachama wenzake sambamba na salaam. |
Mwenyekiti mpya wa CCM Nyamagana Raphael Shilatu akiteta na Bw. Mabina ambaye naye anatetea nafasi yake ya uenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza. |
Ni fursa kuteta bustanini Mjumbe aliyeshinda nafasi NEC Lawrance Masha na Dr. Wangabo |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.