Mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo akigusa ngoma kama ishara ya ufunguzi wa jadi kwa maonyesho ya kitalii jijini Mwanza, mtindo huu ni tofauti na ule wa ukataji utepe. |
Mpiga mbiu aina ya Bigra aliipiga kama ishara ya sauti ya kualika watu kuhudhulia tambiko moja kati ya mila za watu kabila la wasukuma. |
Meza kuu ikifurahia jambo. |
Mwonekano muhimu..... |
Utalii na ngoma zetu asili. |
Kundi hili linaitwa 'Ngoma ya Mang'ombe ya kijiji' |
Wadau wa masuala ya utalii wakimsikiliza kwa dhati mkuu wa mkoa. |
Burudani jukwaani ni Rock City Band ambao waliimba wimbo maalum wa vivutio vya utalii mkoa wa Mwanza.. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.