![]() |
| Utaisoma.. |
![]() |
| Huduma ya choo na bafu inaendeshwa na maji ya kuteka visimani eneo la Lamadi. |
![]() |
| Mto wa daraja la Lamadi. |
![]() |
| Matofali ya kuchoma. |
![]() |
| Nyumba hii imejengwa kwenye kona hatua chache toka barabara kuu iendayo Tarime licha ya kuwekwa alama za X kuwa ibomolewe, bado watu wanaishi. |
![]() |
| Ofisi za Mamlaka ya maji safi na maji taka Tarime Mjini. |
![]() |
| Shule mbili zilizo katika eneo moja mtaa mmoja ni Shule ya msingi Nyamisangwa na Shule ya msingi Tarime. |
Tupe maoni yako








Da! bwana G ni nyamisangura na turwa primary school,hapo karibu na nymbn kabsa kumbe kamera zako zinafika had bush saf sana
ReplyDelete